GET /api/v0.1/hansard/entries/780715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780715,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780715/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Ms.) Tuya): Sawa kabisa mheshimiwa. Ningependa kuwakumbusha wahemishimiwa kwamba utakapoanza kwa lugha moja uweze kukamilisha mjadala wako na lugha hiyo. Tukumbuke kuongea na Mhe. Spika ili tutofautishe vikao vyetu hapa kutoka ile mikutano yetu ya hadhara katika maeneo ya Bunge. Afuataye ni Mhe. Mwadime, Mbunge wa Mwatate."
}