GET /api/v0.1/hansard/entries/780722/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780722,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780722/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. (Ms.) Tuya): Samahani, tafadhalini Waheshimiwa. Ningependa kuomba hivi: Najua Hoja hii inachangamsha watu wote na inagusia hali ambayo ni tatanishi katika kila sehemu Bungeni. Ningeomba tafadhali nifuatilie mpangilio ambao nimeupata hapa, kwa sababu mkija wote kwangu hapa, mtanichanganya. Kwa hivyo, tufuate ile orodha ambayo iko hapa. Ningependa kusema kwamba tuko na wakati. Tunaenda mpaka saa saba. Ningeomba unaposimama kuchangia, jaribu kufupisha maneno yako ili tuweze kuwapatia wengine nafasi ya kuchangia."
}