GET /api/v0.1/hansard/entries/780724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780724/?format=api",
    "text_counter": 148,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nadhani kila Mbunge amesikia. Hii Hoja itasaidia Wakenya kwa ujumla maanake watu husafiri kutoka maeneo mbalimbali. Tukiangalia hali ya mfuko kwa kila mtu, kwa kweli haiendi sambamba. Kifungu 43 cha Katiba kinaambatana pia na kile cha ugatuzi. Kinasema kwamba ikiwezekana, hela izidi kusukumwa kwa wingi kule mashinani. Najua kuna changamoto maanake ugatuzi ulianza juzi. Wakipelekewa pesa kwa wingi, nafahamu kaunti zetu zitatatua hili tatizo la magonjwa."
}