GET /api/v0.1/hansard/entries/780727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780727,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780727/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Dawood",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2572,
"legal_name": "Abdul Rahim Dawood",
"slug": "abdul-rahim-dawood"
},
"content": "Nakushuru, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, ninampongeze ndugu yangu, Mhe. Mohamed Ali, kwa kuleta Hoja hii ya kuanzisha hospitali ya rufaa kule Mombasa. Nasikitika kwamba katika Bunge lililopita, tulipitisha Hoja nyingi. Hata mimi nilipitisha Hoja ya kuweka chumba cha wagonjwa mahututi katika kila kaunti, na hata kila eneo Bunge kwa Kenya nzima, lakini mpaka leo, Kamati ya Utekelezaji haijasema ni nini itafanyika. Hoja hili ambayo imeletwa na Mhe. Mohamed Ali ni nzuri hasa mambo ya kuanzisha hospitali ya rufaa Mombasa. Pia zikuwe kila pembe ya nchi yetu ndio tuweze kuangalia mambo ya ugonjwa."
}