GET /api/v0.1/hansard/entries/780730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780730,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780730/?format=api",
    "text_counter": 154,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Dawood",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2572,
        "legal_name": "Abdul Rahim Dawood",
        "slug": "abdul-rahim-dawood"
    },
    "content": "Kwa hivyo, lazima tujue kwamba ikiwa tunataka kuendesha Kenya lazima tuelewe kuwa sisi ni ndugu hata kama tunatoka makabila tofauti. Ugonjwa haujui ndugu wala dada. Inatupasa kuwa na hospitali za rufaa Kenya nzima. Tutenge pesa kwa ajili ya hospiltali za rufaa. Pia, tunapaswa tuhakikishe kuwa hospitali za rufaa zinasimamiwa na Serikali kuu wala siyo za gatuzi. Hii ni kwa sababu magavana hawawezi kutekeleza wajibu wa kuwalipa madaktari na wafanyakazi wengine. Kwa hayo machache, naiunga mkono Hoja hii. Ni changamoto kwa Mhe. Ali afuatilie Hoja hii ili tuweze kupata hospitali hii. Tumeshapitisha Hoja kumi na moja humu Bungeni lakini mpaka leo… Mhe. Mwadime amesema kwamba Hoja yake ya maji haijapita na yangu ya hospitali ya"
}