GET /api/v0.1/hansard/entries/780753/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780753,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780753/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. ole Sankok",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Hongera Mhe. Ali. Hili ni tatizo kubwa sana. Kenya nzima ina hospitali mbili peke yake za rufaa ambazo ziko mbali kutoka nyingine. Watu kutoka Pwani huja hadi Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Inawachukua muda na watu wetu wanaaga njiani wakati wanasafirishwa. Hii ni shida kubwa sana. Hoja ya Mhe. Ali inafaa itiliwe maanani kabisa ili tuwe na hospitali ya rufaa Pwani. Lakini isiwe Pwani peke yake. Upande wa Kaskazini mwa Kenya pia inahitaji hospitali ya rufaa kwa sababu ni mbali. Watu wa eneo hilo hawawezi kusafiri kuenda Eldoret kwa urahisi. Ni mbali pia kwao kuja Nairobi. Hata tukiwa na Hospitali ya rufaa huko Pwani, itakuwa mbali kwa watu wa kaskazini mwa Kenya."
}