GET /api/v0.1/hansard/entries/780769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780769,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780769/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Ms.) Tuya): Samahani Mhe. Ali. Ningependa kuwapa fursa wale wanaotaka kuchangia mjadala huu na ningependa kumuomba mwenye Hoja awape dakika moja wale ambao hatutaweza kuwafikia kwa sababu wakati wa kufunga unapokaribia. Mhe. unaweza kuendelea na mjadala wako."
}