GET /api/v0.1/hansard/entries/780773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780773/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mheshimiwa, ulisema ya kwamba ingekuwa bora kama tungepunguza muda wa kujadili Hoja hii lakini kulingana na muongozo wa mipangilio ya Bunge, muko na uwezo kama waheshimiwa. Wewe Mhe. Athman si Mbunge mpya. Hata hivyo, unaweza kuwasilisha Hoja hiyo kabla hatujaanza mjadala wa ile Hoja nyingine. Nafikiri tunaelewana. Kwa hivyo, tukiwa na mjadala wowote ambao unachangamsha watu wengi na wengi wanataka kuuchangia, tuna njia ya kuweza kupunguza wakati lakini kabla ya Hoja kuanza. Nitachukua fursa hii kuwatambua na kuwakaribisha wanafunzi kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Manunga, kutoka Eneo Bunge la Kipipiri katika Jimbo la Nyanadrua. Tuwakaribishe."
}