GET /api/v0.1/hansard/entries/780784/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780784,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780784/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwakuwona",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwa kweli, mjadala huu ni mzito. Hoja iliyoletwa na ndugu yangu Mhe. Mohamed Ali wa Nyali naipongeza. Nimepata kuchangia kwa dakika moja lakini ningetamani kuichangia kwa muda wa kutosha. Nilikuwa nimejiandaa vilivyo kuzungumza mambo mengi, lakini, nitataja mawili tu ya muhimu. Kwanza, tunapoangazia hospitali iliyoko Mombasa ni vizuri tutathmini kwamba miaka iliyotangulia hadi Hoja hii imefika Bungeni leo, watu wamekuwa wakitoka kilomita zaidi ya mia sita ama saba kukimbilia hospitali ya rufaa hapa Nairobi. Sana sana wenzetu wanaotoka Tana River, Lamu, Taita, Kwale na Kilifi. Hii imekuwa ni changamoto kubwa. La msingi, watu wetu wanakimbilia sana Hospitali ya Pwani na mara nyingi haina vifaa vinavyofanya kazi. Tunapotathmini swala hili, tujue kwamba wananchi kutoka kaunti yangu ya Taita Taveta huenda Tanzania kutafuta matibabu. Juzi tumepoteza mama kule Tanzania ambae alifia huko na angekuwa amepata matibabu humu---"
}