GET /api/v0.1/hansard/entries/780788/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780788,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780788/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Lomorukai",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13409,
"legal_name": "Jeremiah Ekamais Lomorukai",
"slug": "jeremiah-ekamais-lomorukai-2"
},
"content": "Asante sana. Kwanza, ningependa kumpongeza Mhe. Ali kwa sababu Hoja yake ni nzuri. Hoja hii itafanya sisi wengine ambao tunatoka sehemu za kaskazini magharibi mwa Kenya pia tunufaike kwa kupata hospitali ya Level 6. Itakuwa vizuri kama Hoja hii, baada ya kupitishwa, ifuatiliwe ili ifanye kazi mara moja. Kuna sehemu zilipata hospitali za viwango vingine kama Level 4 au Level 5 na hazijawahi kupatiwa huduma nzuri. Kuziorodhesha hospitali hizo katika viwango hivyo haikuweza kuzisaidia. Muda wangu umeisha. Ahsante."
}