GET /api/v0.1/hansard/entries/780793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780793/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "tutakuwa na matatizo. Ili tuwajibike sawasawa na Katiba yetu ya Kenya katika Kipengele cha 43, njia mwafaka ya kumpatia mwananchi matibabu mazuri; kwanza, kuajiri wataalamu wazuri katika kila zahanati; pili, kuweka dawa katika kila zahanati; na tatu, kujenga hospitali za kiwango cha nne katika kila kaunti ili ziwahudumie watu wa chini. Hii ni kwa sababu hospitali za kiwango cha kitaifa hazitahudumia kila mtu. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}