GET /api/v0.1/hansard/entries/781253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 781253,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/781253/?format=api",
"text_counter": 77,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika. Ninasimama kwa hoja ya nidhamu. Ninataka ndugu yangu Sen. Murkomen aelewe Kiswahili kisawa sawa. Je, ni sawa yeye kuanza kujibu akijua kwamba sitapata nafasi ya kujibu? Pili, mbona tumetengeneza bandari nyingine itakayoitwa dry port na ambayo mizigo itakuwa inashuka ilhali tunajua katika ulimwengu, bandari zote ziko kwenye bahari. Ikiwa mizigo itatolewa kule na ifanyiwe"
}