GET /api/v0.1/hansard/entries/783083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 783083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/783083/?format=api",
"text_counter": 545,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Nashukuru, Bw. Spika wa Muda. Unaweza kuona kwamba kijana kama Sen. Cheruiyot anaweza kuleta maoni kama hayo. Namshukuru kwa sababu ameweza kutueleza sote hapa ndani ya Seneti. La mwisho, Bw. Spika wa Muda, ni kumuomba Mwenyekiti wa Kamati hii achukue ripoti yake. Nyumba hii ya Seneti iko na uwezo wa kuchukua hatua hiyo hivi sasa na kugeuza repoti hii ili tuidhinishe yule ambaye amekuwa wa kwanza katika mahojiano hayo. Tunaweza kumtuma Mwenyekiti aende huko, akae na aregeshe ripoti hii hapa akisema ya kwamba Sen. Melly ndiye amechukua nafasi ya kwanza. Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}