GET /api/v0.1/hansard/entries/783115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 783115,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/783115/?format=api",
"text_counter": 577,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bwana Spika wa muda. Ripoti iko sawa isipokuwa mapendekezo yake ndio yalikuwa yanatatiza waheshimiwa Maseneta. Ripoti hii inaeleza kwamba wa kwanza katika majadiliano alikuwa ni Sen. Isack Kipkemboi Melly ambaye alipata alama 78. Ripoti hii inatilia maanani uzoefu wake wa awali. Kwa kizungu inaitwa"
}