GET /api/v0.1/hansard/entries/784794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 784794,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/784794/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante Bw. Spika. Ningependa kuongeza kwamba sisi Maseneta hapa tunaunga mkono kuteuliwa kwa ndugu zetu, Sen. Stewart Madzayo na Sen. (Dr.) Abdulahi Ibrahim Ali. Mimi, kama Seneta kutoka Kaunti ya Kwale, naunga mkono mswada huu. Niko na imani kwamba hawa Maseneta wenzetu watatufanyia kazi nzuri kule. Kwa hivyo naunga mkono orodha hii ambayo imeletwa katika Bunge letu la Seneti. Bw. Spika, sina mengi ya kuongeza, isipokuwa kusema kwamba naunga mkono Mswada huu. Asante sana, Bw. Spika."
}