GET /api/v0.1/hansard/entries/785623/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 785623,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/785623/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Didmus Mutua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1885,
        "legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
        "slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
    },
    "content": "umeletwa kwa wakati unaofaa sana kwa sababu kumekua na hali ambayo ilikua inazuia vyombo vya usalama kuhakikisha kwamba Wakenya wanaishi kwa usalama. Mswada huu ukipita, utawapa nguvu vyombo vya usalama kuwakamata majangili ambao wanatumia mitandao kuwahangaisha Wakenya ambao hawana hatia."
}