GET /api/v0.1/hansard/entries/785624/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 785624,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/785624/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Didmus Mutua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1885,
        "legal_name": "Didmus Wekesa Barasa Mutua",
        "slug": "didmus-wekesa-barasa-mutua"
    },
    "content": "Kenya imekuwa nyuma katika hali ya kiteknolojia. Sasa tutakuwa na mwamko mpya na polisi watakuwa na uwezo wakuwafuata wahalifu wanaotumia mitandao. Naomba kuwa tunapopitisha sheria hii lazima polisi pia wawajibike kwa sababu mara nyingi wamekuwa na mazoea ya kusema kwamba hawawezi kutekeleza sheria kwa kuwakamata wahalifu. Wanasema kwamba hakuna sheria ambayo inawaruhusu ama labda wakipeleka ushahidi hautoshi kwa sababu sheria hairuhusu ule ushahidi kutumika. Sasa lazima polisi wawajibike. Wakenya hawatavumilia tena visingizio ambavyo si vya muhimu sana. Hii sheria ikipitishwa watampambana na majangili."
}