GET /api/v0.1/hansard/entries/786262/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 786262,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/786262/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Wanasema kwamba palipo na wazee, hapaharibiki neno. Mheshimiwa Uhuru Kenyatta na Mhemshimiwa Raila Odinga hatimaye walikutana. Kiongozi wa muungano wa wafanyakazi Bw. Francis Atwoli aliwaambia kuwa haina haja kutuambia siku, saa na wapi. Alitaka wakutane kisiri ama kiwazi lakini waongee peke yao na nchi hii itakuwa na amani. Msemo huo umetokea kuwa kweli. Nawapongeza watu wa dini, mawakili na watu wote katika nchi ya Kenya kwa kuhimiza viongozi hao wawili kukutana."
}