GET /api/v0.1/hansard/entries/786956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 786956,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/786956/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Vile vile, nataka kumpongeza Rais kwa sababu wale wote wengi aliowapatia kazi wanafaa haswa ukimwangalia Dr. Susan Komen. Pia kuna Prof. Hamadi Boga ambaye amesomea utafiti wa kilimo. Hivyo basi, nampongeza sana Rais and namtakia kila la kheri akifanya kazi zake na wafanyi kazi wake wa Serikali."
}