GET /api/v0.1/hansard/entries/787456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 787456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/787456/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "March 27, 2018 SENATE DEBATES 9 Sen. Gona",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Naibu wa Spika. Ni kweli kuwa nimetosheka na majibu kutoka kwa Mwenyekiti. Hata hivyo, kuna jambo ambalo sikuridhika nalo sana. Niliuliza kuhusu wageni ambao wanatembelea sehemu ya Malindi na Mwenyekiti akaleta ripoti ya Pwani nzima. Niliuliza kuhusu Malindi peke yake."
}