GET /api/v0.1/hansard/entries/788125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 788125,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788125/?format=api",
    "text_counter": 161,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu wa Spika. Nimesimama kuunga mkono Mswada wa leo. Natoka Tana River, ambako tuna miradi mitatu ya kunyunyizia mimea maji. Kuna miradi ya Hola, Bura na TARDA. Ukweli ni kwamba hiyo miradi mitatu inaweza kulisha taifa letu la Kenya lakini, uzembe kazini na uporaji wa mali ya umma umefanya tunalia njaa. Hivi juzi, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}