GET /api/v0.1/hansard/entries/788132/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 788132,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788132/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Kama mwakilishi wa kina mama wa Kaunti ya Tana River, ninasema tuanze kwa kubadilisha wasimamizi wa Hola Irrigation Scheme. Siku hizi tuko na nafuu sana. Mradi huo hauko vibaya sana kwa sababu watu angalau wanapata chakula kidogo. Hawapati mazao ya kuuza lakini hawalali njaa. Lakini kuna shida ndogo ndogo. Kwa hivyo wanakamati pia watembelee mradi huu kusikiza wanayoyapitia wakulima."
}