GET /api/v0.1/hansard/entries/788174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 788174,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788174/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Makazi yamekuwa ni taabu. Hapa nchini Kenya wananchi wengi ni wakulima. Kwa kweli, Serikali yetu inapaswa kutenga pesa za kutosha ili kujenga mabawa. Tunapaswa kuwa na mpangilio sawasawa ndio tuzidi kuenda mbele. Wahenga walisema kwamba, ‘panapo hela basi hapo hela zitaongezeka.’ Pia vile vile, panapo maji pia maji yataongezeka. Hii ni kumaanisha haya mabawa yakijengwa basi watu wataanza kupanda miti ambayo italeta mvua. Pia mzingara yatakuwa kama yalivyokuwa hapo awali."
}