GET /api/v0.1/hansard/entries/788683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 788683,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788683/?format=api",
"text_counter": 224,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Ugonjwa wa saratani ni mmoja katika ya magonjwa sugu ambayo yamehangaisha jamii zetu. Kuna umuhimu ama haja ya ugonjwa huu wa saratani kutangazwa janga la kitaifa. Vile vile kuwe na hazina maalum ambayo itashughulikia maradhi haya ambayo ni mazito sana."
}