GET /api/v0.1/hansard/entries/788684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 788684,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788684/?format=api",
"text_counter": 225,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Wenzangu waliotangulia kuongea ni wataalamu pia katika Jumba hili wametoa sauti zao. Kutokuwa na ufahamu kuhusu vile ugonjwa huu unavyoletwa na nini ama vipi inaanza ni jambo linalochangia pakubwa sana. Wakati ufahamu unapopatikana baada mtu kuzuru vituo vya afya, huwa tayari imeshachelewa. Shirika la Afya Ulimwenguni limetoa takrimu ambazo zinatutia hofu. Ugonjwa huu kujulikana kwa haraka inakuwa ni vigumu. Watu wengi hufaamu kuwa wako na saratani wakati wanatembelea kituo cha afya na kupatikana tayari ugonjwa umeshafika kiasi cha asilimia 70 hadi 80. Kwa hivyo, inakuwa kazi ngumu kuthibithiwa. Yote haya yanatokea kwa sababu ya kutokuwa na ufahamu."
}