GET /api/v0.1/hansard/entries/790662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 790662,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790662/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie. Suala hili linatuathiri hata sisi Wabunge. Kuna wale waliogombea viti vya ubunge lakini hawakufanikiwa kupata. Ingekuwa vyema wapate huduma za ushauri nasaha kwa sababu wamebaki tu kwenye Facebook wakitutukana. Nafikiri kuna ugonjwa fulani ambao umewaingia. Inafaa washauriwe kwa nasaha. Hata sisi tukitoka hapa na tusifanikiwe kurudi tena, inafaa tushauriwe ili tujue namna ya kuwahudumia watu wetu."
}