GET /api/v0.1/hansard/entries/790663/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 790663,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790663/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia inastahili ushauri upatiwe wanaotafuta kura au wale ambao hawakupata kiti chochote ambacho walikuwa wakiwania. Wao hupata shida sana wanapokosa ushindi ama kuteuliwa. Pia, watu wengi hupata shida wakati wanatarajia jambo fulani lakini halitokei. Wanafaa wapate ushauri nasaha. Katika depression kuna viwango tofauti kama vile kutokubali. Kuna viwango vingi ambavyo mtu hupitia kabla ya kufikia depression ."
}