GET /api/v0.1/hansard/entries/790665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 790665,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790665/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Maafisa wengine wa Serikali wanaohitaji ushauri nasaha ni wale wanaofanya kazi katika Huduma Centre. Lamu inastahili kuwa ya kwanza kupata huduma hizi. Tunazihitaji sana kwa sababu watu wengi hupigana wao kwa wao. Hata wenyenji wa Lamu East wanakatana kwa mapanga kwa sababu ya kukosa ajira. Imewaharibu akili. Wengine wanaenda sehemu ambazo hazifai. Wengi wao wamevuka mpaka na kwenda hadi Somalia kwa sababu wana shahada lakini hawana kazi. Wakipata ushauri nasaha utawasaidia sana. Wengine wanaingilia mambo ya kusikitisha. Tumefanya assessement ya vijana na tukapata hivi: katika wadi ya Faza, asilimia 20 ya vijana wana maradhi ambayo wao hawajasema wako nayo. Hawajawambia bibi zao. Wengine wameengia kwa mihadarati. Utasikitika kwamba huko Lamu hasa wadi za Faza na Mkomani,"
}