GET /api/v0.1/hansard/entries/790667/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 790667,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790667/?format=api",
    "text_counter": 148,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "imewaingia watu na hawana la kufanya. Kwa hiyo wameingilia matumizi ya mihadarati sana. Vijana wetu Lamu wameisha. Hatuna vijana Lamu. Vijana ambao wameingilia matumizi ya mihadarati na kwa mambo mabaya ni asilimia 57 kwa makadirio ya daktari. Haya yote yametokea kwa sababu wamekosa huduma za ushauri nasaha. Wangeitwa, wakalishwe chini na waelezwe hali ilivyo wangekuwa faida kwa Serikali, Lamu na Kenya nzima."
}