GET /api/v0.1/hansard/entries/790759/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 790759,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790759/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Asha Mohamed",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13262,
"legal_name": "Asha Hussein Mohamed",
"slug": "asha-hussein-mohamed"
},
"content": "TungependaWakenya wapate stakabadhi hizi kwa urahisi katika vituo vya usajili. Hapo awali wakati nikienda shule mwaka wa1983 nilishika sikio nikaingizwa darasani. Kwa hivyo Serikali yetu ichukulie maanani suala hili ili vyeti hivi vipeanwe kwa urahisi ili wazazi wasitaabike. Nakumbuka wakati nilipomaliza kidato cha nne nilipatiwa kitambulisho changu cha kitaifa shuleni huko Giriamani, Kadzonzo Girls. Wasajili walikuja shuleni wakasema wale ambao wamefikisha miaka 18 wajiandikishe. Tulipatiwa vitambulisho vya kitaifa katika shule na tunazitumia hadi leo. Sioni ni kwanini iwe vigumu wazazi kupata huduma hii. Ombi la Mheshimiwa litiliwe maanani ili wapate stakabadhi hizo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}