GET /api/v0.1/hansard/entries/791948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 791948,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/791948/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Pukose",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1458,
        "legal_name": "Robert Pukose",
        "slug": "robert-pukose"
    },
    "content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho ni vitu muhimu. Nakumbuka wakati nilipata kitambulisho, tulikuwa tunapewa katika headquarters ya wilaya. Wakati huu, ili upate kitambulisho, inabidi baadhi ya wale wanaoandikisha watume tarakilishi hizo kule Nairobi halafu baada ya kufika Nairobi iweze kuletwa. Hiyo inachukua muda mrefu. Katika maeneo Bunge, kuna watu ambao huwa ni vigumu sana kwao kuja kwa"
}