GET /api/v0.1/hansard/entries/792184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 792184,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792184/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika. Ningependa kutoa rambirambi zangu. Watu wa Lamu kuelekea Baringo, Mungu amweke mahali pema peponi Mhe. Grace. Tunamwombea Mungu. Ameonyesha mfano bora na huu ugonjwa wa saratani, inafaa tuushughulikie zaidi. Saratani ipo kwa kweli na inauwa watu wengi Kenya. Kwa hivyo, ni wakati wetu sisi kama Wabunge kuhakikisha kama ni Mswada au Hoja tupitishe ili watu watibiwe vizuri and kushughulikiwa vizuri. Mheshimiwa amekuwa mfano mwema kwetu. Tumesikia habari zake hata sisi tunamheshimu na Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Ahsante."
}