GET /api/v0.1/hansard/entries/792186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 792186,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792186/?format=api",
    "text_counter": 63,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1618,
        "legal_name": "Francis Munyua Waititu",
        "slug": "francis-munyua-waititu"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika. Hii ni kadi yangu mpya lakini haijaanza kufanya kazi. Nimesema nitaongea Kiswahili leo kwa sababu ya yale mambo niko nayo. Mheshimiwa tulifanya kazi naye hapa Bunge iliyopita katika shughuli za kamati. Nawapa pole watu wake na familia yake yote na Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. Tunapoongea haya maneneo, watu wanajua nimekuwa nikiongea sana kuhusu haya mambo ya cancer . Mimi mwenyewe…"
}