GET /api/v0.1/hansard/entries/792188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 792188,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792188/?format=api",
"text_counter": 65,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1618,
"legal_name": "Francis Munyua Waititu",
"slug": "francis-munyua-waititu"
},
"content": "Mimi nimepatwa na saratani na nikasema niko nayo hata kabla ya kwenda kutibiwa. Sababu yangu kwenda kupimwa ni kwa sababu dada yangu mkubwa aliyekuwa anaishi Muchatha, Banana, alikuwa na saratani na alipozidiwa na ugonjwa alikuja kuishi kwangu Juja. Wakati alipimwa na akapatikana na saratani, baada ya hapo, alikufa kwa sababu saratani ilikuwa imefika Stage 4 . Alikufa na akapumzika. Wa pili, alikuwa ni mama yangu ambaye sasa tunaishi naye. Wakati alipimwa, mimi nilikuwa nafanya kampeni. Mama pia alipatikana na saratani. Lakini kwa bahati ya Mwenyezi Mungu, ilikuwa ni Stage 2 . Tulimpeleka Aga Khan miezi minane na akapona. Wakati The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}