GET /api/v0.1/hansard/entries/792189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 792189,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792189/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1618,
        "legal_name": "Francis Munyua Waititu",
        "slug": "francis-munyua-waititu"
    },
    "content": "nimemaliza kufanya kampeni, nilisema inaweza kuwa familia ina haya mambo ya saratani. Wakati nilienda kupimwa hospitali ya Aga Khan, nilipatikana nayo ikiwa Stage 2 . Kwa bahati, nilikuwa nimefanyia familia ya Kenyatta kazi kwa miaka mingi, miaka 30 kama meneja wao wa kahawa. Nikapelekwa India mbio mbio. Nilipofika pale, ndipo tukajua kwamba saratani si vile tunafikiria hapa nchini. Huko India, kuna mashine mbili tu ambazo zinapima saratani. Zile mashine zingine 15 ziko Marekani. Wakati unapimwa hivyo virusi vingi vya mwili, unaambiwa saratani yako inaweza kuwa ya aina ya virusi maelfu na maelfu ya milioni. Sasa niliulizwa: “Kwa sababu ulichukuliwa picha, hiyo bloki iko wapi?” Tulingojea wiki moja ndio ifike kule. Bila hiyo, singetibiwa kwa sababu haingewezekana. Ndio tuliona baadhi ya watu 9,000 waliokuwa huko, 5,000 walikuwa wanalala huko nje. Tumewafanyia mchango na wameenda huko kutibiwa lakini hamna kinachoendelea kwa sababu hawana hata pesa ya kukomboa pahali pa malazi, ijapokuwa hapa tumefanya mchango. Watu 4,000 ndio walikuwa na mahali pa kulala. Kwa hivyo, tunauliza Serikali kwa sababu tunajua tutasaidiana…"
}