GET /api/v0.1/hansard/entries/792191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 792191,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792191/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1618,
        "legal_name": "Francis Munyua Waititu",
        "slug": "francis-munyua-waititu"
    },
    "content": "Ya mwisho ni kueleza wananchi wa Kenya na wale tuko nao hapa Bunge kuwa nilirudi juzi. Nikikueleza kuna wengine wamenikuta hapa Bunge, 34, na wameniambia niwaonyesha mahali nilikuwa na vile wataenda. Mambo ya saratani isifichwe ndio watu wajue saratani inaweza kutibiwa namna gani. Lakini saratani isipelekwe mashinani kwa kaunti kwa sababu watu wanakufa kila siku juu ya saratani."
}