GET /api/v0.1/hansard/entries/792203/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 792203,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792203/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanjira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 769,
        "legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
        "slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Pia mimi natoa rambirambi zangu kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya watu wa Gilgil na kusema pole sana kwa familia na marafiki wa mwenda zake, Mhe. Grace Kipchoim. Nilifanya kazi naye kwenye Bunge la 11 nikiwa Seneti naye akiwa hapa kama waliochaguliwa kwenye Maeneo Bunge. Walikuwa kina mama 16 peke yake. Ule uchungu ambao Mhe. Grace Kipchoim amepitia umekuwa wakati mgumu sana na kama sio bima nzuri na Mungu kumpa rehema, nafikiri haingekuwa rahisi. Kwa sasa, tunasema pole sana kwa familia na Mungu airehemu roho yake."
}