GET /api/v0.1/hansard/entries/794191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 794191,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/794191/?format=api",
    "text_counter": 909,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13311,
        "legal_name": "Nicholas Scott Tindi Mwale",
        "slug": "nicholas-scott-tindi-mwale"
    },
    "content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kwa heshima kuunga mkono Mswada huu. Kumekuwa na shida kubwa sana katika eneo la Pwani haswa karibu na Bahari Hindi. Kwa hivyo, najulisha Wakenya kwamba Mswada huu ungeletwa mapema zaidi ili tupate njia ya kulinda maziwa yetu."
}