GET /api/v0.1/hansard/entries/794195/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 794195,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/794195/?format=api",
"text_counter": 913,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13311,
"legal_name": "Nicholas Scott Tindi Mwale",
"slug": "nicholas-scott-tindi-mwale"
},
"content": "Kwa hivyo, naunga wenzangu mkono ambao wamechangia na wakasema ya kwamba Mswada huu upitishwe uwe sheria. Naunga mkono na naeleza Wakenya wenzangu ya kwamba tukiwa na Mswada huu, tutakuwa na nafasi nyingi za kazi kwa Wakenya. Tukiwa na hiyo sheria na zinginezo, tutapata ujuzi kutoka nchi ambazo zimejaribu kulinda pwani yao kama vile nchi za Ujerumani, Uhisipania na Japani. Kwa hayo machache, naunga mkono Mswada huu na naomba Wabunge wenzangu wauunge mkono pia. Ahsante sana."
}