GET /api/v0.1/hansard/entries/796700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 796700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/796700/?format=api",
    "text_counter": 697,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza ningependa kumpongeza Mhe. Alfred Keter kwa kuileta. Lamu County iko na tatizo hili. Wabunge wakisimama wanataja Tana River, Garissa na sehemu nyingine, lakini hawataji Lamu. Kuna miji mitatu pia ambayo inafurika kule Lamu; Moa, Chalaluma na Dide Waride. Kama majirani wa Tana River Kaunti wakipata tatizo, inabidi waje Lamu. Kwa hivyo,Wizara ikifanya mipango yoyote wajue kuna Lamu County. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}