GET /api/v0.1/hansard/entries/796701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 796701,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/796701/?format=api",
    "text_counter": 698,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Tunashukuru Red Cross kwa usaidizi wao kwa wananchi. Kuna wanyama kama ng’ombe na hata binadamu ambao walikua wamefungiwa na maji, imebidi watolewe. Mashamba yameharibika na maji yamefika kwa manyumba. Kuna watu wanatolewa sasa hivi, wamepewa ilani watoke maeneo yao na waende maeneo mengine. Serikali kupitia kwa Wizara ya Special Planning inafanya kazi nzuri. Wizara inayohusika na usalama ni kubwa sana, ikipewa majukumu kama haya, yatapotelea humo. Ningeomba Wizara ya Special Planning ipate kusaidia watu wetu. Watu wana shida, watoto hawaendi shuleni, watu wana njaa, kuna shida ya mbu na tunahitaji neti na chakula pia. Naunga mkono Hoja hii. Asante."
}