GET /api/v0.1/hansard/entries/797266/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 797266,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/797266/?format=api",
    "text_counter": 418,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Namshukuru Mhe. Rais kwa mipango yake yote ambayo ako nayo. Nilikuwa natarajia atatupa pole. Natoa pole kwa watu wa Tana River kwa majanga yaliyowapata. Tumepoteza watu, wanyama, mashamba na hata ardhi zimeeda kwa sababu haya maji yaliyokuja safari hii ni mengi kushida maji ya El Nino . Hata sehemu zile ambazo maji ya El Nino hayakufika, safari hii maji yamefika. Kwa hivyo, watu wetu hawana mahali pakuishi saa hii. Nilitarajia pia tupangiwe angalau fedha za wale ambao wamekumbwa na janga hili la maji ya mvua inayonyesha. Kule kwetu, maji yamefurika lakini hatuna mvua. Sisi, watu wa Tana River, mvua ikinyesha na kukiwa na ukame ni shida. Kwa hivyo, ningependa wale viongozi wa Serikali wapangie watu wa Tana River suluhu ya kudumu. Tusiwe watu wa kulia wakati wa ukame na wakati wa mvua. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}