GET /api/v0.1/hansard/entries/797267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 797267,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/797267/?format=api",
"text_counter": 419,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13275,
"legal_name": "Rehema Hassan",
"slug": "rehema-hassan"
},
"content": "Naomba wale wahusika wa idara ya maji watusaidie. Maji ambayo yametufanya tuumie saa hii Tana River yananyesha kutoka huko juu. Tafadhali tujengewe mabwawa huku katikati ndio maji yasitufikie. Sisi tumeumia. Naomba kama mmoja wa wanakamati wa Kamati ya Mazingira; tafadhalini, mkipanga, msituache nyuma. Tana River iko Kenya. Sisi tumepata Uhuru kama watu wengine. Isiwe miaka 50 tangu tupate Uhuru, sisi tunalia shida kila siku."
}