GET /api/v0.1/hansard/entries/797268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 797268,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/797268/?format=api",
"text_counter": 420,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13275,
"legal_name": "Rehema Hassan",
"slug": "rehema-hassan"
},
"content": "Namshukuru Mhe. Rais kwa sababu hachukii watu wa Tana River. Namuomba Mhe. Rais ahusishe watu wa Tana River katika suala la handshake maana inaonekana huu ni wakati wa kusameheana. Kuna watu waliopigana kabla ya kura za 2013 na baadhi yao wako jela. Wanateseka na ni watu ambao wako na watoto na wake. Tunaiomba tume ya uhusiano ili izungumze na watu ili wasameheane na hata hao vijana wasamehewe. Mhe. Rais, sauti yako ni kubwa na najua ukisema umewasemehe, watatoka jela na washughulikie watu wao."
}