GET /api/v0.1/hansard/entries/797837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 797837,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/797837/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ahsante Bw. Naibu Spika, kwa kuweza kumzuia Senator kupiga gumzo. Mimi nakubaliana na mambo ambayo Rais aliyataja kama anayoyaamini, kama vile mambo ya madktari. Kamati ya Seneti iliweza kuenda Cuba ili kujifahamisha na jinsi madaktari wanafanya kazi huko. Nina imani ya kwamba, madktari hao wakija hapa Kenya, mambo yetu yataendelea kuwa mazuri. Niliona wale madaktari wana uzoefu. Jambo lingine ambalo aliongelea ni usalama. Mwenzangu ameuliza mahali Rais anapoishi kwa sababu usalama umedhorora sana nchini. Lakini, ningependa kumhakikishia mwezangu kwamba hali ya usalama imeimarika. Rais anaishi katika Ikulu ya Nairobi na vile vile huwa anazitembelea Ikulu zingine. Ni ukweli kwamba umoja ni nguvu, na utengano ni udhaifu. Ninamshukuru Rais kwa kuweza kumsalimia kinara wa NASA na kusema ya kwamba Kenya ni moja na tunafaa kusonga mbele pamoja. Kuna ndugu wetu wengine ambao wanauliza mbona Rais The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}