GET /api/v0.1/hansard/entries/798628/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 798628,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/798628/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tunapofanya ujenzi wa miundo msingi ni muhimu kuhakikisha kwamba tuna kadiria majanga kama haya kutendeka. Hili ni bwawa la kwanza kufanya hivyo. Tunajua kwamba mvua ikiendelea kunyesha, basi tutaona majanga mengine pia yakitendeka."
}