GET /api/v0.1/hansard/entries/799229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 799229,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/799229/?format=api",
    "text_counter": 134,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ni lazima tuwe na taasisi maalum na sheria ambazo zitawezesha Serikali ya Kitaifa na serikali za kaunti kufanya kazi pamoja. Tutatunga sheria zingine ambao zitasaidie mashirika yasiyo ya Serikali kufanya kazi na Serikali ya Kitaifa na zile za ugatuzi. Kuna mambo mingi ambayo yatajitokeza katika taifa letu. Kwa hivyo, tunatarajia kusikia mawaidha mengi kutoka kwa viongozi kama vile Naibu Rais, Bw. William Ruto na kiongozi wa Upinzani, Mhe. Raila Odinga . Ninaunga mkono Hoja hii ili tuweze kupata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika warsha ijayo."
}