GET /api/v0.1/hansard/entries/799265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 799265,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/799265/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia mjadala wa kuahirishwa kwa Bunge la Seneti ili tuhudhurie Legislative Summit mjini Mombasa katika Kaunti ya Mombasa. Kama Seneta wa jiji la Mombasa, Kaunti ya Mombasa, nachukua fursa hii kwanza kuwakaribisha nyote katika mji wa Mombasa wakati wa"
}