GET /api/v0.1/hansard/entries/799271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 799271,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/799271/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nawahakikishia kwamba usalama umeimarishwa na tunaimarisha usafi. Pia itatupa fursa kujiondoa na matatizo ya Nairobi kwa muda fulani kwa sababu tatizo la Nairobi limekuwa donda sugu. Tulishuhudia wakati ule wa serikali iliyotangulia ya Kidero na sasa ya Mhe. Sonko. Hizi zote ni changamoto ambazo tutaziepuka wakati tutakapokuwa katika"
}