GET /api/v0.1/hansard/entries/799281/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 799281,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/799281/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi Spika wa Muda, ni lazima tuweze kuzisaidia hizi bunge za kaunti ili wale Wabunge waweze kuchukua majukumu yao kikamilifu; ya kuweza kuangalia raslimali zinazokwenda kule zinafuatiliwa kikamilifu. Tumeona kwamba katika kaunti nyingi Wabunge wale wako tayari kusafiri nje ama safari zingine katika Jamhuri lakini kukaa ndani na kuweza kuuliza maswali magumu yale ambayo yatakikana kuulizwa inakuwa changamoto. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}